mkali nani

Mpambano wa leo huu hapa.... tetea star wako hapa kwa kumwagia sifa na kueleza sababu za kumchagua na kufanya aukonge moyo wako. Watambue washirki wetu kama ifuatavyo:-

  • kushoto ni Wema Sepetu...
  • katikati ni Jacqueline wolper
  • na kulia ni Irene Uwoya.




Wote utawakuta katika sanaa ya uigizaji(Bongo movie) na video za wanamuziki mbalimbali.....

0 comments:

Post a Comment